'
Maurice Maeterlinck | |
---|---|
Maurice Maeterlinck | |
Amezaliwa | 29 Agosti 1862 |
Amefariki | 5 Mei 1949 |
Kazi yake | mwandishi na mshairi kutoka nchi ya Ubelgiji |
Maurice Polydore Marie Bernard Maeterlinck (29 Agosti 1862 – 5 Mei 1949) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya Ubelgiji. Mwaka wa 1911 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maurice Maeterlinck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Maurice Maeterlinck, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.