Matsuo Bashō

Matsuo Munefusa anayejulikana pia kama Matsuo Bashō (1644 - 28 Novemba 1694) alikuwa mshairi nchini Japani.

Matsuo Bashō
Sanamu ya Basho mjini Ogaki

Husifiwa kama mshairi mashuhuri wa kipindi cha nasaba ya Edo. Amesifiwa hasa kwa ajili ya mashairi yake aina ya haiku ambayo ni mashairi mafupi yenye silabi 5-7-5. Haiku zake zinaandikwa mara nyingi kwenye majengo au sanamu nchini Japani.

Maisha

Alizaliwa Iga kwenye kisiwa kikuu cha Honshu upande wa magharibi wa Tokyo mnamo 1644 katika familia ya makabaila wadogo wa samurai. Alijifunza mwenyewe kazi ya vita kama samurai akaiacha badaye kuwa mwandishi na mashiri akadumisha maisha yake kama mwalimu. Alizunguka kote nchini Japani. Alijenga nyumba yake mjini Fukagawa kando la mjini wa kifalme wa Edo (leo: eneo la Tokyo) alipopanda mgomba bustani mwake akaipenda na kujiita "Basho" kwa sababu mgom ba kwa Kijapani ni "basho".

Aliaga dunia katika nyumba wa mwanafunzi wake akiwa safarini. Kabla ya kufa alitunga haiko ya mwisho:

    Tabini yande / yume ha kareno wo / kake meguru
      Safarini nimegonjeka
      Ndoto yangu ni kuzunguka
      shamba linalojaa manyasi makavu
Matsuo Bashō  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Matsuo Bashō kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

1644169428 NovembaJapaniMshairi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

SemantikiMjombaInshaMtawaKitenziMsokoto wa watoto wachangaIniKinyongaAfrika KusiniStephen WasiraOsama bin LadenShahawaChe GuevaraKamusi ya Kiswahili - KiingerezaHoma ya mafuaMji mkuuOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaSentensiWikipedia ya KirusiTai (maana)Orodha ya watu maarufu wa TanzaniaSomaliaHadithiMalariaMagonjwa ya machoVivumishi vya pekeeKanisa KatolikiUkwapi na utaoAsiaUtumwaKiswahiliManchester United F.C.UyogaMjiParisWapareTarakilishiBarua pepeUtafitiNgano (hadithi)PikipikiHistoria ya KanisaTaifaAina za udongoWilaya za TanzaniaWema SepetuUgonjwa wa kuharaMadawa ya kulevyaTumainiNomino za pekeeKitenzi kishirikishiMajiJMafumbo (semi)KarafuuDiplomasiaAbedi Amani KarumeNyokaUlayaUajemiMaajabu ya duniaTabianchiMuungano wa Tanganyika na ZanzibarMaishaUtegemezi wa dawa za kulevyaMbuga za Taifa la TanzaniaMoyoKongoshoKitufeVirutubishiNgoziBibliaOrodha ya Marais wa UgandaDesturi🡆 More