Marouane Fellaini

Marouane Fellaini Bakkioui (alizaliwa Novemba 22, 1987) ni mchezaji wa mpira wa miguu/soka wa Ubelgiji ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Manchester United na timu ya taifa ya Ubelgiji.

Marouane Fellaini
Marouane Fellaini

Alizaliwa Etterbeek kwa wazazi wake nchini Morocco, Fellaini alicheza soka la vijana Anderlecht, R.A.E.C. Mons, Royale Francs Borains na Charleroi S.C kabla ya kujiunga na Standard Liège.Baada ya kushinda Daraja la kwanza la Ubelgiji na Shoe Ebony, alihamia Uingereza kujiunga na Everton FC.

Marouane Fellaini Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marouane Fellaini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Kiungo (michezo)Manchester UnitedMpira wa miguuNovemba 22SokaUbelgijiUingereza

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MajiFeisal SalumMusaAfrikaKumamoto, KumamotoEswatiniInjili ya LukaIniMauaji ya kimbari ya RwandaHekaya za AbunuwasiMadhara ya kuvuta sigaraTausiHoma ya mafuaJioniUgirikiMnyamaMtakatifu PauloAlfabetiCSinagogiVivumishi vya idadiMagavanaHerufi za KiarabuKukuJulius Nyerere13Simon MsuvaTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaMfumo katika sokaMkopo (fedha)KiimboMunguUbunifuShirika la Reli TanzaniaMajira ya baridiUkooBunge la Umoja wa AfrikaAntibiotikiHadhiraHarmonizeHekayaIsimuDhambiKichomi (diwani)PichaRwandaWaheheTetekuwangaAfyaMofolojiaMbossoJay MelodyNadhariaNyangumiViwakilishiMsumbijiNikki wa PiliKadi za mialikoKiwakilishi nafsiIntanetiBaruaLugha ya taifaWizara za Serikali ya TanzaniaKunguruTamthiliaOrodha ya shule nchini TanzaniaBustani ya EdeniJeshiShelisheliHistoria ya UrusiKaswendeInsha ya wasifuOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaUsultani wa ZanzibarTafsiri🡆 More