Lyan'ganga

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi.

Joined 19 Juni 2021
Latest comment: miaka 2 iliyopita by Kipala

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wiki Kiswahili. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wiki: Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Idd ninga (majadiliano) 09:10, 19 Juni 2021 (UTC)

Taarifa ya kukuzuia!

Ndugu, imenibidi kukuzuia kwa sababu zinazotajwa chini. Wakati unapokuwa umezuiwa huwezi kuhariri isipokuwa penye huu ukurasa wako wa majadiliano. Unaweza kunijibu kwa kutumia “Email this user”.

Sababu ni kuwa umeingiza matini iliyopatikana kwa njia ya tafsiri ya kompyuta ikiwa na kasoro nzito ya lugha. Umearifiwa kwamba ni marufuku kumwaga matokeo ya google translate katika makala zetu. Wachangiaji wanaopuuza utaratibu huu wanasababisha hasara kubwa kwa Wikipedia yetu na kuwapa wengine kazi kubwa mno ya kusafisha makosa yao.

Bila shaka una nia nzuri kuchangia katika Wiki Kiswahili. Tutafurahi kushirikiana nawe lakini ni lazima ufuate utaratibu. Kazi yetu kama wakabidhi ni kulinda mradi huu.

Ukiwa tayari kufuata utaratibu pamoja na kupitia upya matini ulizozileta tayari, naomba uwasiliane nami kwa kufungua ukurasa wangu (bofya jina langu chini) na kuniandikia baruapepe kwa kubofya “Email this user” upande wa kushoto. Hapo nitaweza kukuruhusu tena. Hapo lazima uwezeshe njia kwa kufuata maelezo katika Wiki: Email.

- Nimepitilia makala ya Bam Adebayo‎ naona umemwaga Kiswahili kibaya kutokana na kutumua google translate. Tafadhali jieleze. Kipala (majadiliano) 21:56, 25 Novemba 2021 (UTC)

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Baraza la mawaziri TanzaniaKanisaIndonesiaAbedi Amani KarumeKiambishiMajiSemantikiBaraLigi ya Mabingwa UlayaNguzo tano za UislamuIsimujamiiMpwaUbungoJangwaMkutano wa Berlin wa 1885Yombo VitukaChristina ShushoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaTabainiPichaRaiaMafumbo (semi)Viwakilishi vya idadiLugha ya isharaKito (madini)Mfumo wa upumuajiMisimu (lugha)Andalio la somoUgonjwa wa kuambukizaWabena (Tanzania)Utamaduni wa KitanzaniaAlfabetiMahakama ya TanzaniaMagomeni (Dar es Salaam)Arusha (mji)Edward SokoineBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiOrodha ya maziwa ya TanzaniaJinaVivumishi vya ambaBahashaGoba (Ubungo)Jamhuri ya Watu wa ChinaKiarabuOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoWajitaViwakilishi vya kuoneshaMfumo wa uendeshajiSimbaTeknolojiaKanga (ndege)NetiboliNgome ya YesuHistoria ya UislamuSomo la UchumiMaarifaMikoa ya TanzaniaWaziri Mkuu wa TanzaniaMohamed HusseinOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaJoziJulius NyerereVipimo asilia vya KiswahiliHadithiKisimaNafsiFasihiBiashara ya watumwaKinyereziMaishaFananiTausiKatekisimu ya Kanisa Katoliki🡆 More