Kiwavi

Kiwavi ni hatua ya ukuaji wa mdudu wa oda ya Lepidoptera (wadudu kama vipepeo na nondo).

Kwa kawaida hula majani. Wakitokea kwa wingi, k.m. viwavijeshi, wanaweza kuharibu mimea na hasa mashamba. Hivyo ni adui wakubwa wa wakulima.

Kiwavi
Kipepeo na hali za kiwavi cha Schizura concinna.
Kiwavi
Kiwavi cha hatua ya tano cha Opodiphthera eucalypti.

Jinsi ilivyo kwa wadudu wengi, maisha ya kiwavi huanza kama yai. Inatoka kwa umbo la kiwavi. Baada ya muda kiwavi huwa bundo. Ndani ya bundo hugeuka kuwa kipepeo anayetoka na kutaga mayai tena. Mzunguko huo kwa jumla ni metamofosisi.

Kiwavi Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwavi kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AduiKipepeoLepidopteraMajaniMduduMimeaNondoOdaWakulima

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Lugha ya isharaNishati ya mwangaMadhara ya kuvuta sigaraTanganyika (ziwa)ChamaziVielezi vya namnaMeena AllyMpira wa kikapu24 ApriliYombo VitukaHalmashauriUgaidiAndalio la somoOrodha ya Marais wa MarekaniWilayaSentensiMachweoSemantikiVidonge vya majiraNgome ya YesuMaajabu ya duniaTanganyikaLugha ya maandishiOrodha ya makabila ya TanzaniaUaminifuNomino za jumlaWanyamweziBagamoyo (mji)MazingiraManchester United F.C.Somo la UchumiWilaya ya IlalaMaeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya TanzaniaHistoria ya ZanzibarIsimilaLigi Kuu Uingereza (EPL)UislamuMbossoZiwa ViktoriaNathariJohn Raphael BoccoUenezi wa KiswahiliMeridianiBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiMkopo (fedha)BabeliSaida KaroliVita Kuu ya Kwanza ya DuniaShambaSamia Suluhu HassanBarua rasmiZuchuMawasilianoAfrika ya Mashariki ya KijerumaniKiambishi tamatiUfupishoMsamiatiChuo Kikuu cha PwaniMtemi MiramboUkristoMkoa wa SongweUyahudiMaambukizi nyemeleziInsha ya wasifuSarataniMwigizajiOrodha ya nchi kufuatana na wakaziHedhiKanga (ndege)🡆 More