56°19′48″N 06°24′36″W / 56.33000°N 6.41000°W / 56.33000; -6.41000
Kisiwa cha Iona ni kisiwa kidogo magharibi kwa Uskoti Kaskazini kilicho maarufu kutokana na monasteri iliyoanzishwa huko na Kolumba mwaka 563.
Kwa karne tatu monasteri hiyo ya Ukristo wa Kikelti ilipata kuwa kituo muhimu cha uinjilishaji kwa Uskoti mzima (Wapikti na Waskoti wa kale) na hata mbali zaidi.
|accessdate=
(help)This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kisiwa cha Iona, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.