Kimoore (pia Kimossi) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa na Wamoore.
Idadi ya wasemaji wa Kimoore nchini Burkina Faso imehesabiwa kuwa watu milioni tano. Pia kuna wasemaji 19,700 nchini Togo, wasemaji 17,000 nchini Mali na wasemaji wachache nchini Ghana, Benin, Cote d'Ivoire na Senegal. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimoore iko katika kundi la Kigur.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimoore kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kimoore, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.