Kikwanyama ni lugha ya Kibantu nchini Angola na Namibia inayozungumzwa na Wakwanyama.
Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kikwanyama imehesabiwa kuwa watu 421,000. Pia kuna wasemaji 247,000 nchini Namibia. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikwanyama iko katika kundi la R20.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikwanyama kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kikwanyama, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.