Kanuto Lavard (kwa Kideni: Knud Lavard; Roskilde, Denmark, 12 Machi 1096 – msitu wa Haraldsted, karibu na Ringsted, Zealand, Denmark, 7 Januari 1131) alikuwa mtawala wa kwanza wa Schleswig chini ya wafalme wa Denmark na wa Ujerumani vilevile.
Alitawala kwa busara na haki lakini akaja kuuawa kwa husuda na mdogo wake Magnus, baadaye mfalme Magnus I wa Sweden (1106 hivi - 1134).
Kanuto Lavard alitangazwa mtakatifu na Papa Aleksanda III mwaka 1169.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kanuto Lavard, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.