Jumuiya ya Kiuchumi ya Ulaya ilikuwa ushirikiano wa nchi za Ulaya katika mambo ya uchumi tangu 1958.
Imekuwa chanzo cha Umoja wa Ulaya.
Jumuiya ilianzishwa na nchi sita za Italia, Luxemburg, Ubelgiji, Ufaransa, Uholanzi na Ujerumani ya Magharibi katika mikataba ya Roma 25 Machi 1957 na kuanza kazi 1 Januari 1958.
Sababu muhimu za kuanzisha ushirikiano huo ilikuwa maarifa ya vita kuu ya pili ya dunia na nia ya kuzuia marudio kwa njia ya ushirikiano wa kiuchumi.
Jumuiya ilifaulu na nchi nyingine zilijiunga nayo:
Tangu 1991 Jumuiya iliendelezwa kuwa Umoja wa Ulaya.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Jumuiya ya Kiuchumi ya Ulaya, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.