Brussels

Brussels (Kifaransa: Bruxelles, Kiholanzi: Brussel, Kijerumani: Brüssel) ni mji mkuu wa Ubelgiji na pia makao makuu ya ofisi za Umoja wa Ulaya.

Bruxelles/Brussel
Brussels
Brussels
Bendera
Majiranukta: 50°51′N 4°21′E / 50.850°N 4.350°E / 50.850; 4.350
Nchi Ubelgiji
Jimbo Brussels
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,080,790
Tovuti:  www.brucity.be
Brussels
Nyumba ya baraza la jiji (Hôtel de ville)

Kisheria jina la Brussels linataja mambo mbalimbali:

- mji wa Brussels wenye wakazi 142,000 kwenye eneo la kilometa za mraba 32.

- Jimbo la Brussels ambamo ndipo ulipo mji wa Brussels pamoja na miji 18 mingine inayojitawala. Sehemu hizi zote ni hali halisi kama mji mmoja mkubwa lakini kisheria kila sehemu bado ina hali yake ya pekee. Jimbo lina wakazi milioni moja. Cheo cha mji mkuu kinamaanisha jimbo lote si mji pekee yake.

Mji umejulikana tangu mwaka 966 BK lakini kuna uwezekano ya kwamba umri wake ni mkubwa. Katika karne ya 15 BK ulikuwa mji mkuu wa utemi wa Brabant ukitajirika kutokana na karakana zake za nguo na biashara yake. Baadaye Brussels pamoja na Ubelgiji ilikuwa chini ya watawala wa nje kwanza Hispania halafu Uholanzi. Mapinduzi wa 1830 yalileta uhuru na Brussels ikawa mji mkuu wa taifa jipya katika Ulaya. Katika karne ya 19 mji uilikua sana katika mapinduzi ya viwandani.

Tangu 1958 Brussels imekuwa mji mkuu wa Ulaya kwa sababu imeteuliwa kuwa makao makuu ya ofisi za Umoja wa Ulaya - wakati ule mtangulizi wake Jumuiya ya Kiuchumi ya Ulaya. 1967 makao makuu ya NATO yalifuata ikahamia baada ya fitina kati ya Marekani na Ufaransa.

Kati ya majengo maarufu sana za Brussels ni Atomium iliyosimamishwa wakati wa Maonyesho ya Dunia 1958.

Brussels Makala hii kuhusu maeneo ya Ubelgiji bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Brussels kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KomaOrodha ya kampuni za TanzaniaMapinduzi ya ZanzibarTwitterMkoa wa ShinyangaLugha ya kwanzaMafumbo (semi)AdhuhuriBaraza la Wawakilishi wa ZanzibarMtaalaHistoria ya Kanisa KatolikiKanisaUingerezaHarmonizeMitindoMoses KulolaUlimwenguUmaskiniMashineTaswira katika fasihiKunguniJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaKylian MbappéKisaweSitiariDar es SalaamMafarisayoUenezi wa KiswahiliUhindiFalme za KiarabuSilabiMbeyaUkoloni MamboleoVisakaleSayariWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiFonimuNevaViwakilishi vya idadiMwakaWayahudiUgonjwa wa kuambukizaUhakiki wa fasihi simuliziUislamuMzunguNdiziOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoGoogle ChromeMakaburuMbuniIstilahiMadhehebuRupiaTarakilishiNigeriaRihannaKitomeoOrodha ya Watakatifu wa AfrikaKata za Mkoa wa Dar es SalaamMbwana SamattaHistoria ya WokovuBibliaEstrojeniYatimaVita ya Maji MajiKilomita ya mrabaNgekewaWilaya za TanzaniaChuo Kikuu cha Dar es SalaamYerusalemuMnyoo-matumbo MkubwaMwanzoWakwereNabii EliyaRadi🡆 More