Jangwa Kubwa La Victoria

Jangwa Kubwa la Victoria (Great Victoria Desert) ni jangwa kubwa zaidi nchini Australia.

Linaenea kwa km² 348,750 katika kusini magharibi ya bara hili. Uso wake ni mchanganyiko wa matuta ya mchanga, vilima vidogo, tambarare za nyasi, maeneo makubwa ya changarawe, na maziwa ya chumvi.

Jangwa Kubwa La Victoria
Jangwa kubwa la Victoria lililoonyeshwa kwa nyekundu.
Jangwa Kubwa La Victoria
Maralinga.

Jangwa hilo linapatikana katika majimbo ya Australia Magharibi na Australia Kusini. Urefu wake kutoka mashariki hadi magharibi ni kama km 700.

Tabianchi ni yabisi sana, usimbishaji wa mwaka ni kati ya milimita 200 hadi 250 za mvua kila mwaka.

Lilipewa jina lake kwa heshima ya Malkia Victoria wa Uingereza.

Wakazi asili wa Australia bado wanaishi katika sehemu ya jangwa wanapokalia eneo kubwa la kujitawala.

Marejeo

Viungo vya Nje

Jangwa Kubwa La Victoria  Makala hii kuhusu maeneo ya Australia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jangwa Kubwa la Victoria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AustraliaBaraChangaraweJangwaKm²KusiniMagharibiNyasiTambarareTuta la mchangaZiwa la chumvi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

GeorDavieNdovuKihusishiUgirikiStephane Aziz KiAlasiriAlfabetiTabianchiMziziUislamu nchini TanzaniaTambikoRitifaaUnyenyekevuUmojaOrodha ya nchi za AfrikaMichezoMmomonyokoKen WaliboraMkatabaMwaka wa KanisaMlongeKumamoto, KumamotoSaidi Salim BakhresaAthari za muda mrefu za pombeUmmaIsimuVita vya KageraStadi za maishaNjia ya MachoziHistoria ya BurundiSkautiInshaJulius NyerereAndalio la somoUtafitiWakingaKitenzi kishirikishiElimu ya kujitegemeaMkoa wa RuvumaMkwawaKisiwaKisimaHali ya hewaShaaban (mwezi)Ligi ya Mabingwa UlayaJanuary MakambaPembe za ndovuVichekeshoElimu ya watu wazimaSamakiUajemiMakabila ya IsraeliTamathali za semiAzimio la ArushaOrodha ya Marais wa KenyaOrodha ya viwanja vya michezo TanzaniaUrusiWatutsiTanganyika (ziwa)MalipoMjasiriamaliMnazi (mti)WaluguruSayariMaradhi ya zinaaMoyoNguvaUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiLatitudoTawahudiWanu Hafidh AmeirMethali🡆 More