Hussein Sirri Pasha, (1894–1960) ( Arabic ) alikuwa mwanasiasa wa Misri.
Alihudumu kama Waziri Mkuu wa 25 wa Misri kwa mara tatu, ambapo pia aliwahi kuwa waziri wa mambo ya nje .
Hussein Sirri alikuwa mwana wa Ismail Sirri Pasha (1861–1937). Alipata Shahada katika uhandisi wa ujenzi huko Paris.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hussein Sirri Pasha (1894–1960) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Hussein Sirri Pasha (1894–1960), which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.