Hospitali Ya Kilutheri Ya Haydom

Hospitali ya Kilutheri ya Haydom (kifupi cha Kiingereza: HLH) ni hospitali iliyopo katika mji wa Haydom, magharibi mwa Mkoa wa Manyara.

Hospitali Ya Kilutheri Ya Haydom
Hospitali kutoka angani.

Hospitali iko karibu km 300 kusini-magharibi kwa Arusha.

Hospitali ilianzishwa mnamo mwaka 1955 na wamisionari wa Kilutheri wa Norwei. Kwa sasa inamilikiwa na kuendeshwa na Dayosisi ya Mbulu ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania

Viungo vya Nje

Tags:

HaydomHospitaliKifupiKiingerezaMagharibiMjiMkoa wa Manyara

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UbuyuRaiaSheriaWiki FoundationJumaOrodha ya mikoa ya Tanzania na MaendeleoMusaNomino za kawaidaRihannaMasharikiMacky SallSarufiUmaMuzikiNabii EliyaMwanaumeYuda IskariotiWabena (Tanzania)DiniUbaleheNyasa (ziwa)UkimwiMeta PlatformsUandishi wa barua ya simuKrismasiInsha ya wasifuUmaskiniRobin WilliamsDubaiVitendawiliUkoloniKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaAC MilanVielezi vya namnaMishipa ya damuItifakiTupac ShakurBinadamuKumaTendo la ndoaMohammed Gulam DewjiSiasaJinaTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaMkoa wa KageraKisononoMaudhuiMahakamaJiniVielezi vya idadiEthiopiaReal BetisChakulaHistoria ya TanzaniaMkoa wa KigomaMnyamaMazungumzoSalamu MariaZama za MaweUnyanyasaji wa kijinsiaJakaya KikweteWayback MachineFutariNairobiKombe la Dunia la FIFAMkoa wa ArushaKitenziAustraliaMalaikaTafsiriUkristo barani AfrikaLigi Kuu Uingereza (EPL)RwandaKitenzi kikuu kisaidiziKiambishiMuungano wa Tanganyika na ZanzibarJuaBasilika la Mt. Paulo🡆 More