Hori Ya Chesapeake

Hori ya Chesapeake (kwa Kiingereza: Chesapeake Bay) ni hori ya Atlantiki nchini Marekani na pia mdomo wa pamoja wa mito kadhaa hasa mto Susquehanna.

Imepakana na majimbo ya Virginia na Maryland.

Hori Ya Chesapeake
Ramani ya Hori ya Chesapeake

Eneo lake ni km² 12,000 na inapokea maji ya mabeseni ya mito inayoishia humo zenye jumla ya km² 165,800. Kijiolojia hori ni mwendo wa kale wa mto Susquehanna uliochimbwa miaka 15,000 iliyopita wakati wa enzi ya barafu ambako uwiano wa bahari ulikuwa mita 100 chini ya uwiano wa leo. Baada ya kupanda kwa uso wa bahari maji yake yalijaa katika bonde la mto na kulifanya kuwa hori ya Atlantiki.

Sehemu nyembamba ya hori iko karibu na mji wa Annapolis, Maryland penye daraja la Bay Bridge. Karibu na mdomo kuna handaki chini ya ardhi na chini ya bahari inayounganisha barabara pande zote mbili.

Hori Ya Chesapeake
Bay Bridge

Mito inayoishia horini

Historia

Hori ilikuwa mahali pa mapigano kati ya manowari za Ufaransa na Uingereza mwaka 1781. Wafaransa walizuia jeshi la Uingereza lisiongeze wanajeshi kutoka manowari zake likasaidia Wamarekani kushinda vita ya uhuru wa Marekani.

Viungo vya Nje

Hori Ya Chesapeake 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:

Tags:

AtlantikiHoriKiingerezaMajimbo ya MarekaniMarekaniMarylandMdomoMitoMto SusquehannaVirginia

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kiwakilishi nafsiAfrika ya Mashariki ya KijerumaniNetiboliMziziLugha za KibantuKanye WestUDAMbaraka MwinsheheYesuMuhimbiliJulius NyerereAgano JipyaInsha ya wasifuNgw'anamalundiStashahadaSemiHussein Ali MwinyiKanga (ndege)MavaziUongoziKhadija KopaUsanifu wa ndaniSaidi NtibazonkizaBenjamin MkapaKichecheVivumishi vya pekeeUkristo barani AfrikaBahari ya HindiKiambishi awaliMafumbo (semi)Ngono zembeJay MelodyMadiniSiriNguzo tano za UislamuMkoa wa TaboraMbezi (Ubungo)MariooLongitudoKihusishiUkristoMbeyaBendera ya KenyaAlama ya barabaraniMwaniManispaaMkoa wa KigomaJumuiya ya Afrika MasharikiJava (lugha ya programu)Mfumo wa mmeng'enyo wa chakulaBiashara ya watumwaMkwawaPijiniWayahudiRohoHekalu la YerusalemuKiraiZuchuKipazasautiClatous ChamaMkutano wa Berlin wa 1885Orodha ya Marais wa MarekaniVita Kuu ya Pili ya DuniaVivumishiLughaUkooKata za Mkoa wa Dar es SalaamNg'ombeCristiano RonaldoOrodha ya kampuni za TanzaniaMajigamboSadakaWizara ya Mifugo na UvuviDawa za mfadhaiko🡆 More