Historia Ya Falme Za Kiarabu

Historia ya Falme za Kiarabu inahusu eneo ambalo leo linaunda Muungano wa Falme za Kiarabu.

Maeneo ya muungano huo pamoja na Qatar na Bahrain yalikuwa nyumbani kwa makabila madogo na chifu zao.

Tangu mwaka 1820 walikuwa na mikataba na Uingereza walipoahidi kuachana na uharamia na kupokea ulinzi wa Uingereza. Ulinzi huo ulizuia uvamizi wa Saudia katika karne ya 20.

Falme hizo zilikuwa nchi lindwa chini ya Uingereza hadi mwaka 1971, ambapo madola hayo madogo yalipata uhuru. Saba kati yake yaliungana kwa jina la Falme za Kiarabu.

Historia Ya Falme Za Kiarabu Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Falme za Kiarabu kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Muungano wa Falme za Kiarabu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

WayahudiMkoa wa TaboraUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiSisimiziUjamaaOrodha ya Marais wa UgandaOrodha ya wanamuziki wa AfrikaMadawa ya kulevyaMbuniItifakiReal BetisIsraeli ya KaleMichezo ya watotoNgamiaBawasiriSinagogiFalsafaMshororoDodoma (mji)KahawiaOrodha ya nchi kufuatana na wakaziHekalu la YerusalemuUturukiAsiliKitenzi kikuu kisaidiziNomino za pekeeDhamiriMlo kamiliMkoa wa TangaMkoa wa LindiMtakatifu PauloInjili ya MathayoMuzikiKishazi tegemeziMohamed HusseinNairobiKipaimaraSkeliHoma ya mafuaDhamiraOrodha ya programu za simu za WikipediaKrismaAsidiJumaMsukuleJotoWasukumaNetiboliJiniBaraza la mawaziri TanzaniaRamadan (mwezi)Nguzo tano za UislamuUgonjwa wa moyoMafua ya kawaidaMkwawaKamusi elezoHafidh AmeirMaudhuiYuda IskariotiOrodha ya Magavana wa TanganyikaNdiziKiumbehaiMweziAgano JipyaChatuShomari KapombeMapinduzi ya ZanzibarMishipa ya damuBoris JohnsonVichekeshoTovutiKidole cha kati cha kandoUganda🡆 More