Desiderius Erasmus wa Rotterdam (Rotterdam, leo nchini Uholanzi, 27 Oktoba 1466 – Basel, leo nchini Uswisi, 12 Julai 1536), anayejulikana kifupi kama Erasmus tu, alikuwa Mholanzi aliyechangia sana tapo la Renaissance, pia padri na mwanateolojia wa Kanisa Katoliki aliyehimiza urekebisho wake.
Erasmus alikuwa msomi mkubwa aliyeweza kuandika kwa Kilatini fasaha. Akitumia mbinu za kitaalamu aliandaa matoleo mapya ya Agano Jipya kwa lugha hiyo na kwa Kigiriki.
Mafundisho yake mbalimbali, yaliyojitokeza katika vitabu maarufu, yaliandaa mwanzo na uenezi wa Uprotestanti, ingawa mwenyewe alikataa kuuunga mkono.
Erasmus alifariki ghafla Basel mwaka 1536.
Kigezo:Library resources box
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Erasmus wa Rotterdam, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.