Eneo La Vijijini

Eneo la vijijini (kwa Kiingereza: rural area, countryside) ni eneo ambalo si mji wala jiji.

Mara nyingi ni eneo la kilimo au mashamba. Kwa hiyo watu husema pia "mashambani". Wakazi wake wanaoishi humo hukaa katika vitongoji au vijiji; wakati mwingine pia sehemu pasipo nyumba nyingine.

Eneo La Vijijini
Eneo la mashambani Australia lenye kilimo cha mizabibu.
Eneo La Vijijini
Kijiji cha Amra Kalan, Pakistan, kinachofanana na mji mdogo.
Eneo La Vijijini
Pori asilia mara nyingi huhesabiwa kati ya maeneo ya vijijini, hata kama hakuna kijiji.

Kwa kawaida maeneo ya vijijini hakuna msongamano mkubwa wa watu na makazi hayana nyumba nyingi kama mji.

Vijijini ni kinyume cha neno "mjini" linalomaanisha eneo ambako majengo ni mengi na watu wengi hukaa pamoja.

Nchi nyingi zinafafanua "maeneo ya vijijini" kwa matumizi ya kitakwimu lakini fafanuzi hizi zinatofautiana.

  1. Huko Uhindi eneo la vijijini linafafanuliwa kuwa na msongamano wa watu chini ya 400 kwa kilomita ya mraba, na wanaume asilimia 75 wanafanya kazi ya kilimo.
  2. Kanada eneo la vijijini linafafanuliwa kuwa na msongamano wa watu chini ya 150 kwa kilomita ya mraba.
  3. Pakistan kila eneo nje ya mipaka ya manisipaa linatazamwa kuwa la vijijini.

Kisheria kuna tofauti kati ya maeneo ya mjini (urban) na vijijini (rural) kwenye nchi tofauti kuhusu kiwango cha madaraka ya kujitawala, kiasi cha fedha kinachopangiwa kwa matumizi ya serikali, ubora wa miundombinu, huduma na kadhalika. Mara nyingi vijijini umaskini ni mkubwa kuliko mjini.

Tanbihi

Viungo vya Nje

Eneo La Vijijini 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Eneo La Vijijini 
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Eneo La Vijijini 
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina dictionary definitions (word meanings):
Eneo La Vijijini  Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eneo la vijijini kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

JijiKiingerezaKilimoMjiNyumbaShambaVijijiWatu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Asili ya KiswahiliPijiniMaadiliKunguniShetaniJoseph Sinde WariobaNguvaUkweliElimu ya watu wazimaSomo la UchumiBikira MariaSaratani ya mlango wa kizaziStephane Aziz KiRiwayaHussein Ali MwinyiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKakaSteve Mweusi26 ApriliUbaleheMselaMkunduUNICEFMkoa wa Unguja Mjini MagharibiKwararaZiwa ViktoriaHedhiWimboKomaKidole cha kati cha kandoKukuMkoa wa ShinyangaNguruweHistoria ya BurundiAfrika KusiniPapa (samaki)MadhehebuMkoa wa LindiEe Mungu Nguvu YetuOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaTume ya Taifa ya UchaguziBara la AntaktikiMkoa wa MorogoroMwenge wa UhuruMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaKiwakilishi nafsiUfahamuMatiniAbakuriaHoma ya matumboMachweoKombe la Dunia la FIFADoto Mashaka BitekoViwakilishi vya kuoneshaMfumo wa JuaMbwana SamattaTamthiliaMatumizi ya lugha ya KiswahiliOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaKaterina wa SienaMohamed HusseinBinamuVivumishi vya urejeshiElimuSinzaWayahudiMfumo wa upumuajiEverest (mlima)Agano JipyaVitendawiliShairiMtume PetroMalipoKitenzi elekeziYesu🡆 More