Edward Harrison Norton (amezaliwa tar.
18 Agosti 1969) ni mshindi wa Tuzo ya Akademi na Golden Globe kwa mwaka wa 1997, akiwa kama mwigizaji na mtayarishaji bora wa filamu wa Kimarekani. Anafahamika zaidi kwa kucheza katika filamu ya Primal Fear, American History X, Fight Club, The Italian Job, na The Incredible Hulk.
Edward Norton | |
---|---|
Ed Norton, mnamo 2009 | |
Amezaliwa | Edward Harrison Norton 18 Agosti 1969 Boston, Massachusetts, Marekani |
Kazi yake | Mwigizaji Mwongozaji Mtayarishaji |
Miaka ya kazi | 1993-hadi leo |
Ndoa | Shauna Robertson (2012) |
Watoto | 2 |
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Edward Norton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Edward Norton, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.