Charles Andler

Charles Philippe Théodore Andler (11 Machi 1866, Strasbourg – 1 Aprili 1933, Malesherbes, Loiret) alikuwa ni mwanafalsafa mwenye mchanganyiko wa Kijerumani na Kifaransa.

Charles Andler
Charles Andler

Maisha

Andler alizaliwa katika familia ya kiprotestanti katika jiji la Strasbourg, nchini Ufaransa. Mwaka 1887 hadi 1888, Andler alishindwa kufikia mafanikio ya juu katika falsafa, maamuzi yaliyofikiwa na Jules Lachelier. Lacheller alikuwa ni msimamizi na mkaguzi wa maswala ya falsafa, ambaye toka awali alionekana kuwa na mtazamo hasi juu ya falsafa ya Kijerumani. Baadae alibadilisha maamuzi ya kuchukua masomo ya falsafa ya Ujerumani suala lililompelekea kufaulu katika kiwango cha juu kabisa katika darasa lake. Hatimaye Andler alifanikiwa kuwa profesa wa Kijerumani katika Sorbonne hii ikiwa mwaka 1901 na baadae chuo cha Collège de France mwaka 1926.

Kazi

  • Les origines du socialisme d'état en Allemagne, 1897
  • Collection de Documents sur le Pangermanisme, 4 vols, 1915–1917
  • Nietzsche, sa vie et sa pensée, 6 vols, 1920
  • Vie de Lucien Herr (1864-1926), 1932

Tanbihi

Masomo zaidi

  • Ernest Tonnelat, Charles Andler: sa vie et son œuvre, 1937

Viungo vya nje

Tags:

Charles Andler MaishaCharles Andler KaziCharles Andler TanbihiCharles Andler Masomo zaidiCharles Andler Viungo vya njeCharles Andler1 Aprili11 Machi18661933KifaransaKijerumaniStrasbourg

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MlongeJuxMatumizi ya LughaAfrikaMamba (mnyama)IfakaraAli KibaMazungumzoUnyagoTupac ShakurMoyoJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoNdoaLady Jay DeeDuniaViwakilishi vya kumilikiOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaBenjamin MkapaRupiaMwana FASimba S.C.MnururishoNgw'anamalundiKumaKilimoUandishi wa ripotiChuo Kikuu cha Dar es SalaamVisakaleSiafuBarua rasmiUturukiHaki za wanyamaDubaiVivumishi vya urejeshiIsraelIntanetiMsitu wa AmazonWanyama wa nyumbaniMbagalaTarbiaKupatwa kwa JuaKarafuuAina za manenoStephane Aziz KiYesuKitenzi kikuu kisaidiziRayvannyMtumbwiWilayaMfumo wa JuaNgeliPijiniKifua kikuuPumuNguruweBaruaNduniOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaMungu ibariki AfrikaSwalaJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaRiwayaMkoa wa SimiyuSaidi Salim BakhresaMizimuKiwakilishi nafsiMauaji ya kimbari ya RwandaKabilaLongitudoTungoVitendawiliVivumishi vya sifa🡆 More