Charles-Albert Gobat (21 Mei 1834 – 16 Machi 1914) alikuwa mwanasheria na mwanasiasa kutoka nchi ya Uswisi.
Pia alikuwa mkurugenzi wa Ofisi ya Amani ya Kimataifa. Mwaka wa 1902, pamoja na Elie Ducommun alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Charles-Albert Gobat kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Charles-Albert Gobat, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.