Bwana Wa Mapete

Bwana wa Mapete ni kichwa cha kitabu cha bunilizi ya kinjozi kilichoandikwa na J.R.R.

Tolkien">J.R.R. Tolkien.

Kwa asili, Tolkien alikiandika kama mfuatano wa kitabu chake cha Mhobiti kilichokuwa kimetolewa mwaka 1937. Ila Bwana wa Mapete ikaendelea kuwa riwaya kubwa katika juzuu tatu. Tolkien aliiandika kati ya miaka 1937 na 1949, hasa wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Hatimaye juzuu hizo tatu zilitolewa kama vitabu vitatu kuanzia 1954 hadi 1955.

Tangu kutolewa, Bwana wa Mapete imetafsiriwa katika lugha nyingi na imekuwa kitabu muhimu katika fasihi ya karne ya 20.

Kichwa cha kitabu hicho chamrejea mpinzani wa hadithi aitwaye Sauron; yeye alikuwa ameumba Pete Kuu ili kutawala Dunia ya Kati nzima. Hadithi ya kitabu yasimulia jinsi mashujaa wanavyompigania Sauron vita. Baadhi ya mashujaa hasa ni wahobiti wanne: Frodo Baggins, Samwise Gamgee (Sam), Meriadoc Brandybuck (Merry) na Peregrin Took (Pippin).

Bwana Wa Mapete Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bwana wa Mapete kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Bunilizi ya kinjoziJ.R.R. TolkienKichwaKitabu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

BahashaUkristo barani AfrikaMohammed Gulam DewjiAlama ya uakifishajiChakulaWilaya ya Nzega VijijiniSomo la UchumiTabianchiMafumbo (semi)Dubai (mji)ShengKonsonantiUchaguziVirusi vya CoronaTanganyika African National UnionBongo FlavaJinsiaKiambishiMuundo wa inshaJichoViwakilishi vya pekeeJuxArsenal FCC++Orodha ya milima ya TanzaniaMbezi (Ubungo)Huduma ya kwanzaMkoa wa RuvumaAfrika ya MasharikiAbedi Amani KarumeAunt EzekielSamia Suluhu HassanMillard AyoPumuMsitu wa AmazonMbagalaVivumishi vya kumilikiFani (fasihi)PombeTungo kiraiWamasaiUfahamuLiverpool F.C.HadithiDemokrasiaBinadamuRamaniAustraliaWagogoMziziOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUmoja wa MataifaUhuru wa TanganyikaMnyamaKitenzi kishirikishiBenderaIsimujamiiMbuga za Taifa la TanzaniaJoyce Lazaro NdalichakoSinagogiMkoa wa SimiyuVieleziUpepoMtaalaClatous ChamaSteven KanumbaAla ya muzikiHistoria ya IranMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaKiboko (mnyama)RushwaMkanda wa jeshiUaNetiboli🡆 More