Apokrifa

Apokrifa (kutoka neno la Kigiriki ἀπόκρυφος, apókruphos, yaani iliyofichika) ni jina linalotumika katika Ukristo kuanzia karne ya 5 kutajia vitabu ambavyo madhehebu husika hayavikubali katika Biblia.

Hivyo vitabu vilevile vinaweza kuwa vitakatifu kwa madhehebu kadhaa lakini si kwa mengine.

Lakini kuna vitabu vingine ambavyo vinatazamwa na Wakristo wote kuwa ni apokrifa, kwa mfano "Maisha ya Adamu na Eva".

Maelezo ya undani zaidi yanapatikana katika makala Deuterokanoni kuhusu vitabu maarufu zaidi vinavyokubaliwa na Kanisa Katoliki na wengineo kama Neno la Mungu, lakini si na Waprotestanti wengi.

Marejeo

Vitabu vyenyewe

  • Robert Holmes and James Parsons, Vet. Test. Graecum cum var. lectionibus (Oxford, 1798–1827)
  • Henry Barclay Swete, Old Testament in Greek, i.-iii. (Cambridge, 1887–1894)
  • Otto Fridolinus Fritzsche, Libri Apocryphi V. T. Graece (1871).

Ufafanuzi

  • O. F. Fritzsche and Grimm, Kurzgef. exeget. Handbuch zu den Apok. des A.T. (Leipzig, 1851–1860)
  • Edwin Cone Bissell, Apocrypha of the Old Testament (Edinburgh, 1880)
  • Otto Zöckler, Die Apokryphen des Alten Testaments (Munchen, 1891)
  • Henry Wace, The Apocrypha ("Speaker's Commentary") (1888)

Utangulizi

Viungo vya nje

Tags:

BibliaKarne ya 5KigirikiMadhehebuUkristoVitabu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

NafsiZabibuUgaidiMazungumzoKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaNairobiMaigizoMtakatifu MarkoBendera ya TanzaniaUzazi wa mpangoMwakaHisaUandishi wa ripotiKiingerezaJinsiaMickey MouseKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniLigi Kuu Tanzania BaraMrijaMkoa wa ShinyangaBinadamuMuungano wa Tanganyika na ZanzibarAngahewaWakingaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMkoa wa MwanzaHistoria ya WasanguAfyaHadithi za Mtume MuhammadMkataba wa Helgoland-ZanzibarTulia AcksonKiimboKibu DenisMichael JacksonDhahabuAgano JipyaBikiraKifua kikuuHadithiTume ya Taifa ya UchaguziSaidi Salim BakhresaMohammed Gulam DewjiJinaNg'ombeKinyereziLigi ya Mabingwa UlayaHali ya hewaAthari za muda mrefu za pombeMkoa wa MaraRamaniKata (maana)Makabila ya IsraeliJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaKamusiMunguStafeliKiswahiliVivumishi vya kumilikiUkongaHedhiWilaya ya ArushaMobutu Sese SekoMlo kamiliAkiliMbagalaBiashara ya watumwaMkoa wa TaboraKamusi ya Kiswahili sanifuOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaBenki ya DuniaUfupishoMisimu (lugha)🡆 More