André Frédéric Cournand (24 Septemba 1895 – 19 Februari 1988) alikuwa daktari na mwanafiziolojia kutoka nchi ya Ufaransa; alihamia Marekani baadaye.
Hasa alichunguza magonjwa ya moyo na tiba zake. Mwaka wa 1956, pamoja na Werner Forssmann na Dickinson Richards alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Marekanibado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu André Cournand kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article André Cournand, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.