Agrikola wa Chalon (Ufaransa, 498 hivi - Châlon-sur-Saône, Ufaransa, 580 hivi) alikuwa askofu bora wa mji huo kwa miaka 48 kuanzia mwaka 532.
Aliongoza au kushiriki mitaguso kadhaa kuliimarisha Kanisa.
Gregori wa Tours alimsifu kwa maadili na utendaji wake.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya watakatifu.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Agrikola wa Chalon, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.