Uzalishaji (kutoka kitenzi kuzaa, kilichonyambulishwa kuwa kuzalisha) ni mchakato wa kutumia akili, ujuzi n.k.
ili kufanya mali na vitu kwa jumla viongezeke kulingana na mahitaji ya binadamu, kuanzia chakula The area of economics that focuses on production is referred to as production theory, which in many respects is similar to the consumption (or consumer) theory in economics., badala ya kutarajia viwatoshe daima kama ilivyo katika maisha ya wawindaji-wakusanyaji wanaoendeleza utamaduni wa watu wa kale hadi miaka 10,000 hivi iliyopita.
Ndipo wengine walipoanza shughuli za ufugaji na kilimo zilizosababisha ustaarabu uliozidi kustawi na kuenea duniani kote pamoja na namna nyingi za uchumi.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Uzalishaji kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Uzalishaji, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.