Alfred Hitchcock

Mh.

Alfred Joseph Hitchcock (13 Agosti 189929 Aprili 1980) alikuwa mwongozaji na mtayarishaji filamu mkubwa wa Kiingereza. Yaaminika kwamba Alfred Hitchcock ndiyo mgunduzi na mwanzilishi wa mtindo mingi ya filamu za kusisimua na za aina ya kutisha. Baada ya kuongoza baadhi ya filamu za huko Uingereza, Alfred alielekea mjini Hollywood na akaja kuwa raia wa Marekani kunanko mwaka wa 1956.

Alfred Hitchcock
Alfred Hitchcock.

Moja kati ya filamu alizoongoza Alfred ni kama ifuatavyo: The Lodger (1927), The Lady Vanishes (1938), Rebecca (1940), The Man Who Knew Too Much (1934 na ilijengwa upya mnamo 1956), Rear Window (1954), Vertigo (1958), North by Northwest (1959), Psycho (1960), The Birds (1963), Topaz (1969) na Frenzy (1972). Alfred vilevile ni mtangazaji na mwongozaji wa kipindi cha TV kiitwacho Alfred Hitchcock Presents.

Viungo vya nje

Alfred Hitchcock  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alfred Hitchcock kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

13 Agosti1899198029 ApriliUingereza

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

NduniAfyaSayariUtoaji mimbaMlongeKilimoSoko la watumwaLugha za KibantuWilaya za TanzaniaMuda sanifu wa duniaMtiMeli za mizigoSomo la UchumiMwigizajiKiambishi tamatiAina za udongoUmoja wa MataifaMethaliMoses KulolaMavaziWasukumaWairaqwAina za manenoMajeshi ya Ulinzi ya KenyaKata za Mkoa wa MorogoroJumuiya ya MadolaTendo la ndoaKata (maana)Mlo kamiliUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaKidole cha kati cha kandoSanaaUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaNgono zembeMwanzo (Biblia)MJWilaya ya IlalaNandyMuunganoMuungano wa Tanganyika na ZanzibarVivumishi vya pekeeMusaBahashaMaadiliKisononoMkoa wa NjombeDamuMartin LutherMsituJohn MagufuliHaki za binadamuLigi Kuu Uingereza (EPL)NdovuDoto Mashaka BitekoAngahewaOrodha ya viwanja vya michezo TanzaniaHistoria ya uandishi wa QuraniKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)Kadi za mialikoKiambishi awaliMweziMeta PlatformsSitiariLongitudoOrodha ya miji ya Tanzania🡆 More