Josemaria Escriva (Barbastro, Hispania, 9 Januari 1902 – Roma, Italia, 26 Juni 1975) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mwanzilishi wa jumuia ambayo baada ya kifo chake ikawa jimbo lisilo na eneo la Opus Dei na shirika la kipadri la Msalaba Mtakatifu.
Alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mwenye heri tarehe 17 Mei 1992 na mtakatifu tarehe 6 Oktoba 2002.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Josemaría Escrivá, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.