Winston Leonard Spencer Churchill (30 Novemba 1874 – 24 Januari 1965) alikuwa mwanasiasa, mwanajeshi na mwandishi kutoka nchi ya Uingereza.
Mara mbili alikuwa Waziri Mkuu wa Uingereza, miaka ya 1940-45, na 1951-55. Mwaka wa 1953 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi. Pia, mwaka wa 1953 alipewa cheo cha "Sir" cha Uingereza.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Winston Churchill kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Winston Churchill, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.