Ulezi ni mbegu ya mlezi au mwele, aina ya nafaka ambayo hulimwa katika sehemu zenye hali ya ukame, hasa katika Ulimwengu wa Tatu.
Unga wake hutumika kutengenezea ugali, uji na kadhalika, hasa kwa wagonjwa.
Pia unatumika kama chachu kutengeneza aina mbalimbali za pombe.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Ulezi, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.