Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 2012 ulikuwa wa 57 katika historia ya Marekani.
Ukafanywa Jumanne tarehe 6 Novemba. Upande wa "Democratic Party", Rais Barack Obama (pamoja na kaimu wake Joe Biden) alimshinda mgombea wa "Republican Party" Mitt Romney (pamoja na kaimu wake Paul Ryan).
Obama akapata kura 332, na Romney 206. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 2012, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.