Unhcr

UNHCR ni kifupisho cha United Nations High Commission for Refugees yaani Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi.

Unhcr
Kambi ya wakimbizi nchini Iraq.

Ni chombo cha Umoja wa Mataifa chenye mamlaka ya kulinda jamii isiyo na makazi (wakimbizi). Mamlaka hiyo haijishughulishi na wakimbizi kutoka Palestina, ambao wanasaidiwa na UNWRA.

Shabaha ya shirika hili ni usaidizi kwa wakimbizi duniani. UNHCR inajenga kambi za kupokea wakimbizi wakati wa vita, inawapatia hifadhi kwenye nchi za jirani, inawasaidia kurudi kwa hiari nyumbani baada ya mapigano au kuhamia nchi nyingine.

Shirika hili lilipokea mara mbili Tuzo ya Nobel ya Amani kwa ajili ya huduma na mafanikio yake ya kuokoa maisha, wakati wa 1954 na 1981.

UNHCR iliundwa mwaka 1950 baada ya vita kuu ya pili ya dunia na makao makuu yake yapo nchini Geneva, Uswisi The UNHCR has won two Nobel Peace Prizes, once in 1954 and again in 1981 .

Tanbihi

Marejeo

  • Gil Loescher, Alexander Betts and James Milner. UNHCR: The Politics and Practice of Refugee Protection into the Twenty-First Century, Routledge. 2008.
  • Alexander Betts. Protection by Persuasion: International Cooperation in the Refugee Regime, Cornell University Press. 2009.
  • Gil Loescher. The UNHCR and World Politics: A Perilous Path. Oxford University Press. 2002
  • Fiona Terry. Condemned to Repeat? The Paradox of Humanitarian Action. Cornell University Press. 2002.
  • Nicholas Steiner. Problems of Protection. Routledge. 2003.

Viungo vya nje

Unhcr 
Wiki Commons ina media kuhusu:

Tags:

Kifupisho

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KisasiliTanganyika (ziwa)UbatizoKenyaKilimanjaro (Volkeno)Roho MtakatifuKaramu ya mwishoHoma ya manjanoNapoleon BonaparteUgonjwa wa uti wa mgongoUkomboziSheriaZuchuNyanda za Juu za Kusini TanzaniaSean CombsMohammed Gulam DewjiHistoria ya TanzaniaOsama bin LadenMishipa ya damuRihannaMkoa wa DodomaUbuyuTrilioniMauaji ya kimbari ya RwandaKalenda ya KiislamuMbeya (mji)PunyetoKondomu ya kikeMbwana SamattaFani (fasihi)UlayaBahari ya HindiKihusishiUfugaji wa kukuFasihi andishiOrodha ya Marais wa ZanzibarDamuDodoma (mji)MmeaGhanaMunguUandishi wa barua ya simuMaghaniMbaraka MwinsheheHaitiNamba ya mnyamaHistoria ya UislamuOrodha ya Marais wa UgandaWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiUkoloniSayariMbooJustin BieberChakulaAC MilanRitifaaKidole cha kati cha kandoMamba (mnyama)Ugonjwa wa kupoozaOrodha ya vitabu vya BibliaMkoa wa MorogoroJumuiya ya MadolaWema SepetuKisiwa cha MafiaSemiUfahamuChelsea F.C.Boris JohnsonOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoManeno sabaMaambukizi nyemeleziUandishi wa inshaWairaqwMkoa wa RukwaKadi za mialikoMaudhui🡆 More