Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania (Kiingereza: Tanzania Commission for Science and Technology kifupi COSTECH) ni shirika la umma ambalo linashirikiana na serikali ya Tanzania.
Ilianzishwa kwa agizo la Bunge la Tanzania mnamo mwaka wa 1986 ikiwa kama mpokezi wa Baraza la Sayansi na Utafiti Tanzania. Tume hii ni tawi la taasisi na Wizara ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia. Ofisi zake kuu zipo mjini Dar es Salaam.
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.