Spice

Spice ni albamu ya kwanza ya kundi la muziki wa pop la Kiingereza, Spice Girls.

Albamu ilitolewa mnamo tar. 4 Novemba katika mwaka wa 1996 na studio ya Virgin Records.Albamu ilirekodiwa kwenye studio za Olympic Studio ya mjini Barnes, London kati ya mwaka 1995 na 1996, na watayarishaji kama vile Matt Rowe, Richard Stannard, Eliot Kennedy na watayarishaji wawili wajulikanao kwa jina la Absolute.

Spice
Spice Cover
Studio album ya Spice Girls
Imetolewa 4 Novemba 1996
Imerekodiwa 1995 – 1996
Aina Pop, R&B, dance
Urefu 40:07
Lebo Virgin
Mtayarishaji Matt Rowe, Richard Stannard, Eliot Kennedy, Absolute
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Spice Girls
Spice
(1996)
Spiceworld
(1997)
Single za kutoka katika albamu ya Spice
  1. "Wannabe"
    Imetolewa: 8 Julai 1996
  2. "Say You'll Be There"
    Imetolewa: 14 Oktoba 1996
  3. "2 Become 1"
    Imetolewa: 16 Desemba 1996
  4. "Mama /
    Who Do You Think You Are"

    Imetolewa: 3 Machi 1997


Single tano zilitolewa kutoka katika alabmu hii: "Wannabe", "Say You'll Be There", "2 Become 1", "Who Do You Think You Are" na "Mama"; "Who Do You Think You Are" na "Mama" zilitolewa kama A-side na B-side kwa upande wa Uingereza, Ireland na nchi zingine. Single ya kwanza, "Wannabe", imekwenda shika nafasi ya kwanza katika nchi takriban 31, na single ya pili, "Say You'll Be There" na "2 Become 1", zimeshika nafasi ya kwanza katika nchi zipatazo 53. "Who Do You Think You Are" ilitolewa kama single rasmi ya Comic Relief kwa upande wa UK ikiwa kama double A-side pamoja na "Mama" na nyimbo zote mbili zilifikia kilele cha chati za 20 bora katika Ulaya, Australia na New Zealand.

Spice walipata mafanikio makubwa sana ulimwengu. Albamu ilitunukiwa Platinum 10 nchini UK na British Phonographic Industry na nchini Canada na Canadian Recording Industry Association, Platinum 8 kwa upande wa Ulaya zilitolewa na International Federation of the Phonographic Industry katika tuzo zao za mwaka wa 1997 mashuhuri kama European music awards, na 7x Platinum kwa upande Marekani zilitolewa na Recording Industry Association of America. Kwa ujumla, albamu imeuza kopi milioni 23 kwa hesabu ya dunia nzima, na kuifanya iwe albamu iliouza vizuri katika historia ya makundi ya muziki kwa upande wa wasichana.

Orodha ya nyimbo

# JinaMtunzi (wa) Urefu
1. "Wannabe"  Spice Girls/Richard Stannard/Matt Rowe. Imetayarishwa na: Richard Stannard, Matt Rowe 2:52
2. "Say You'll Be There"  Spice Girls/Elliott Kennedy. Imetayarishwa na: Absolute 3:56
3. "2 Become 1"  Spice Girls/Richard Stannard/Matt Rowe. Imetayarishwa na: Richard Stannard, Matt Rowe 4:00
4. "Love Thing"  Spice Girls/Elliott Kennedy. Imetayarishwa na: Absolute 3:37
5. "Last Time Lover"  Spice Girls/Andy Watkins/Paul Wilson. Imetayarishwa na: Absolute 4:11
6. "Mama"  Spice Girls/Richard Stannard/Matt Rowe. Imetayarishwa na: Richard Stannard, Matt Rowe 5:03
7. "Who Do You Think You Are"  Spice Girls/Andy Watkins/Paul Wilson. Imetayarishwa na: Absolute 3:59
8. "Something Kinda Funny"  Spice Girls/Andy Watkins/Paul Wilson. Imetayarishwa na: Absolute 4:02
9. "Naked"  Spice Girls/Andy Watkins/Paul Wilson. Imetayarishwa na: Absolute 4:26
10. "If U Can't Dance^"  Spice Girls/Richard Stannard/Matt Rowe. Imetayarishwa na: Richard Stannard, Matt Rowe 3:50
11. "Seremos Uno Los Dos^^"  Spice Girls/Richard Stannard/Matt Rowe. Imetayarishwa na: Richard Stannard, Matt Rowe 4:00

Matunukio, vilele, na mauzo

Chati Nafasi
Iliyoshika
Matunukio Mauzo/Usafirishaji
Argentina 1 3× Platinum 170,000
Australia 3 6× Platinum 420,000
Austria 1 Platinum 50,000
Belgium 3× Platinum 150,000
Brazil - 2× Platinum 500,000
Canada 1 10× Platinum (Diamond) 1 million
Chile 1 4× Platinum 90,000
Europe 1 8× Platinum 9.4 million
Finland 4 2× Platinum 76,000
France 2 3× Platinum 1.05 million
Germany 6 3× Gold 450,000
Italy 2 5× Platinum 500,000
Japan 3× Platinum 1 million
Hong Kong Platinum 40,000
Mexico Gold 100,000
Netherlands 1 3× Platinum 300,000
New Zealand 1 6× Platinum 90,000
Norway 1 2× Platinum 80,000
Hispania 1 11× Platinum (Diamond) 1.10 million
Sweden 1 2× Platinum 120,000
Switzerland 5 2× Platinum 100,000
United Kingdom 1 10× Platinum (Diamond) 3.02 million
Marekani 1 7× Platinum 7.4 million

Marejeo

Soma zaidi



Spice  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Spice kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Spice Orodha ya nyimboSpice Matunukio, vilele, na mauzoSpice MarejeoSpice Soma zaidiSpice4 NovembaMuziki wa popSpice GirlsUingerezaVirgin Records

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Aunt EzekielMr. BlueInstagramUtapiamloKalenda ya KiislamuSilabiChuraVipaji vya Roho MtakatifuUpinde wa mvuaMapigo yasiyo ya kawaida ya moyoMafua ya kawaidaPunyetoNapoleon BonaparteMfumo wa mzunguko wa damuKombe la Mataifa ya AfrikaMaudhuiNamba tasaYuda IskariotiRitifaaLongitudoMnara wa BabeliHijabuNyangumiFani (fasihi)Saida KaroliHifadhi ya SerengetiJay MelodyJuxMekatilili Wa MenzaMpwaUkoloniUmoja wa MataifaVitenzi vishiriki vipungufuDhima ya fasihi katika maishaMkoa wa LindiUtandawaziDhahabuHali maadaBahari ya HindiUturukiOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaTanganyika (ziwa)KichochoMamaJomo KenyattaViwakilishiFutiMkoa wa MbeyaJumapili ya matawiMkoa wa DodomaChombo cha usafiri kwenye majiFasihi simuliziShirika la Utangazaji TanzaniaHistoria ya WokovuYoung Africans S.C.WasukumaMkoa wa ManyaraHekalu la YerusalemuKylian MbappéEthiopiaSaidi NtibazonkizaWajitaMsalaba wa YesuTanganyikaKamusi ya Kiswahili sanifuSiasaUkristo barani AfrikaTungo sentensiNairobiNdoa katika UislamuBiashara ya watumwa🡆 More