Albamu Ya Spice Girls Greatest Hits

Greatest Hits ni mkusanyikao wa vibao vikali vya kundi la muziki wa pop la Kiingereza, Spice Girls.

Na pia ndiyo albamu ya kwanza kutolewa baada ya miaka saba na ilisaidiwa na sindikizo la ziara yao ya kimataifa. Ilipata kutolewa moja kwa moja dunia kote mnamo mwezi wa Novemba katika mwaka wa 2007, kasoro Marekani pekee ambapo ilipata kutolewa mwisho 6 Novemba 2007 na kuja kutolewa ile kamili mnamo tar. 15 Januari 2008. Greatest Hits imeuza takriban nakala zaidi ya milioni 1.7 kwa hesabu ya dunia nzima.

Greatest Hits
Greatest Hits Cover
Greatest hits ya Spice Girls
Imetolewa 7 Novemba 2007
Aina Pop, R&B, Europop, dance, pop rock
Urefu 54:44
Lebo Virgin, EMI
Mtayarishaji Richard Stannard, Matt Rowe, Absolute, Darkchild
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Spice Girls
Forever
(2000)
Greatest Hits
(2007)


Orodha ya nyimbo

Toleo la kawaida

  1. "Wannabe" (Radio Edit) – 2:56
  2. "Say You'll Be There" (Single Mix) – 3:58
  3. "2 Become 1" (Single Version) – 4:04
  4. "Mama" (Radio Version) – 3:42
  5. "Who Do You Think You Are" (Radio Version) – 3:46
  6. "Move Over" – 2:44
  7. "Spice Up Your Life" (Stent Radio Mix) – 2:56
  8. "Too Much" (Radio Edit) – 3:53
  9. "Stop" – 3:26
  10. "Viva Forever" (Radio Edit) – 4:14
  11. "Let Love Lead the Way" (Radio Edit) – 4:16
  12. "Holler" (Radio Edit) – 3:56
  13. "Headlines (Friendship Never Ends)" – 3:31
  14. "Voodoo" – 3:11
  15. "Goodbye" (Radio Edit) – 4:25

Toleo maalumu

  • Disc One: Toleo la kawaida
  • Disc Two: DVD, containing music videos for:
  1. "Wannabe" – 3:56
  2. "Say You'll Be There" – 3:52
  3. "2 Become 1" – 3:56
  4. "Mama" – 3:37
  5. "Who Do You Think You Are" – 3:42
  6. "Spice Up Your Life" – 3:05
  7. "Too Much" – 3:50
  8. "Stop" – 3:31
  9. "Viva Forever" – 4:10
  10. "Let Love Lead the Way" – 4:18
  11. "Holler" – 4:15
  12. "Headlines (Friendship Never Ends)" – 3:56 (U.S. release only)
  13. "Goodbye" – 4:35

Box Set

  • Disc One: Standard edition
  • Disc Two: Special edition (Music Videos)
  • Disc Three: Karaoke collection:
  1. "Wannabe" – 2:54
  2. "Say You'll Be There" – 3:54
  3. "2 Become 1" – 4:07
  4. "Mama" – 3:43
  5. "Who Do You Think You Are" – 3:45
  6. "Move Over" – 2:48
  7. "Spice Up Your Life" – 2:55
  8. "Too Much" – 3:55
  9. "Stop" – 3:31
  10. "Viva Forever" – 4:10
  11. "Let Love Lead the Way" – 4:26
  12. "Holler" – 4:10
  13. "Goodbye" – 4:35
  • Disc Four: Remix collection (sio pamoja na toleo la U.S.):
  1. Wannabe (Motiv 8 Vocal Slam Mix) – 6:21
  2. Say You'll Be There (Junior's Main Pass) – 8:35
  3. 2 Become 1 (Dave Way Remix) – 4:02
  4. Mama (Biffco Mix) – 5:50
  5. Who Do You Think You Are (Morales Club Mix) – 9:31
  6. Spice Up Your Life (Murk Cuba Libre Mix) – 8:07
  7. Too Much (SoulShock & Karlin Remix) – 3:54
  8. Stop (Morales Remix) – 7:25
  9. Viva Forever (Tony Rich Remix) – 5:21
  10. Holler (MAW Remix) – 8:32
  11. Goodbye (Orchestral Mix) – 4:16

Chati

Chati (2007) Nafasi
iliyoshika
Mauzo Matunukio
Australian Albums Chart 1 80,000+ Platinum
UK Albums Chart 2 360,000+ Platinum
European Top 100 Albums 7
Estonian Album Chart (Standard CD) 8
Argentine Album Chart 8
Irish Albums Chart 9 20,000+ Platinum
Greek International Albums Chart 9
Canada Albums Chart 11 100,000+ Platinum
Mexican International Album Chart 11
Brazilian Album Charts 12 100,000 Gold
New Zealand Albums Chart 15 7,500+ Gold
Japanese Albums Charts 18 75,000+
Russian Album Chart (Standard CD) 20
Italy Album Charts 20
Spanish Album Charts 23
French Album Chart 31 20,000+
Mexican Album Chart 34
Polish Album Chart 48
Sweden Album Chart 50
Germany Album Chart 50
Switzerland Album Chart 52
Estonian Album Chart (CD+DVD Edition) 54
Russian Album Chart (Box Set) 54
Russian Album Chart (CD+DVD Edition) 68
Austrian Album Chart 70
Netherlands Album Chart 73
Billboard 200 93 600,000+ Gold

Mauoz ya IFPI:1,700,000

Marejeo

Viungo vya Nje


Albamu Ya Spice Girls Greatest Hits  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Greatest Hits (albamu ya Spice Girls) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Albamu Ya Spice Girls Greatest Hits Orodha ya nyimboAlbamu Ya Spice Girls Greatest Hits ChatiAlbamu Ya Spice Girls Greatest Hits MarejeoAlbamu Ya Spice Girls Greatest Hits Viungo vya NjeAlbamu Ya Spice Girls Greatest Hits15 Januari200720086 NovembaMarekaniMuziki wa popSpice GirlsUingereza

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Vita ya Maji MajiKhadija KopaKishazi tegemeziMwamba (jiolojia)Ufahamu wa uwezo wa kushika mimbaMaambukizi nyemeleziChakulaAli KibaIsraeli ya KaleKumaRisalaUgonjwa wa uti wa mgongoMtakatifu PauloUhakiki wa fasihi simuliziMajigamboMbeyaAlomofuMkoa wa KigomaSentensiKimeng'enyaMtume PetroHomoniKupatwa kwa JuaMahindiSaida KaroliKomaElimuBikira MariaVitenzi vishirikishi vikamilifuMazingiraPaul MakondaBurundiFasihiMatiniMkoa wa ShinyangaPalestinaMwanzo (Biblia)DhamiraMnyamaBahashaBendera ya KenyaMnyoo-matumbo MkubwaMatumizi ya lugha ya KiswahiliNg'ombeSikioKisukuruMajiMungu ibariki AfrikaNyangumiPapaRoho MtakatifuUgandaLafudhiVielezi vya mahaliDiamond PlatnumzMsokoto wa watoto wachangaMtaalaMuda sanifu wa duniaWilaya ya ArushaLuhaga Joelson MpinaKilimoNevaUrusiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoHuduma ya kwanzaYesuUmememajiTambiko🡆 More