Sheria Ya Familia

Sheria za familia ni sehemu za sheria ambazo zinahusika na masuala ya familia na mahusiano ya ndani ikiwa ni pamoja na:

  • Asili ya ndoa, vyama vya muungano, na ushirikiano wa nyumbani;
  • Masuala yanayojitokeza katika ndoa, ikiwa ni pamoja na dhuluma, uhalali, watoto, na dhuluma kwa mtoto.
  • Kikomo cha uhusiano pamoja na talaka, mali, wajibu wa mzazi kwa watoto).
Sheria Ya Familia
Jozi katika Roma wa Kale.

Sheria za familia zinaweza pia kuashiria mkataba wa ndoa katika imani ya Kiislamu, ambayo inaruhusu wanaume kuoa wake hadi wanne.

Ukosoaji wa Sheria za familia

Wajumbe wa haki za baba hukashifu "kushinda au kupoteza" asili ya sheria ya familia katika kuamua masuala ya talaka na ulinzi wa watoto katika nchi za Magharibi.

Vyama vya kitaifa vinavyoshughulikia mifumo ya kisheria katika nchi tofauti hukabiliana na masuala ya kiutaratibu kuhusu mtoto.

Watetezi wa mageuzi ya Alimony pia hukashifu mfumo wa Sheria ya Familia. Wao wanasema kwamba mfumo wa sasa wa talaka huwatia bwana na mke katika tatizo la kulea mtoto na kusababisha mazingira yenye uadui na mwishowe kuwalipa wanasheria wa talaka pesa nyingi.

Tanbihi

Marejeo

Sheria Ya Familia  Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sheria ya Familia kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

FamiliaSheria

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mkoa wa MbeyaVielezi vya idadiKitenzi kikuuSikukuu za KenyaMaradhi ya zinaaMawasilianoHistoria ya TanzaniaWahadzabeWahaTabataMkutano wa Berlin wa 1885KinyongaLugha ya taifaUmoja wa MataifaRushwaMizimuC++Ee Mungu Nguvu YetuMwanzoAlama ya barabaraniJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaMashuke (kundinyota)Orodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuJay MelodyChakulaMusaNafsiRoho MtakatifuCleopa David MsuyaHistoria ya WasanguHali ya hewaNathariMaajabu ya duniaMarie AntoinetteUkooUharibifu wa mazingiraHurafaSkeliAlomofuMbogaKaaMartin LutherSadakaShahawaUvimbe wa sikioViwakilishi vya pekeeJokate MwegeloUkatiliHadhiraTendo la ndoaRitifaaChristopher MtikilaKamusiKifaruBiblia ya KikristoOrodha ya Magavana wa TanganyikaMvua ya maweMoses KulolaHistoria ya UislamuStashahadaPesaUpinde wa mvuaMkoa wa TangaEl NinyoElimuYanga PrincessJokofuSikioVita Kuu ya Kwanza ya DuniaMkwawaFalsafaBibliaNdiziSodoma🡆 More