Sanaag (kwa Kisomali: Sanaag, kwa Kiarabu: سناج) ni mkoa (gobol) uliopo kaskazini mwa jimbo la Khatumo, ni kati ya mikoa inayojitegemea kiutawala ndani ya Somalia ingawa inagombaniwa na Somaliland na Puntland.
Sanaag ina pwani ndefu inayoangalia Ghuba ya Aden kwa upande wa kaskazini, na imepakana na mikoa ya Woqooyi Galbeed, Togdheer, Sool na Bari.
Makala hii kuhusu maeneo ya Somalia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Sanaag kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Mkoa wa Sanaag, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.