Saint Martin

Saint Martin (jina rasmi la Kifaransa ni Collectivité de Saint-Martin) ni eneo la ng'ambo la Ufaransa linalopatikana kaskazini mwa kisiwa chenye jina hilo, ambacho thuluthi ya kusini ni mwanachama wa Ufalme wa Nchi za Chini, mbali ya visiwa vingine vidogo.

Saint Martin
Kisiwa cha Saint Martin
Saint Martin
Saint-Martin na sehemu ya bahari ya Karibi iliyo chini yake.
Saint Martin
Ramani ya kisiwa ikionyesha Saint-Martin ya Kifaransa (kaskazini) na Sint Maarten ya Kiholanzi (kusini).

Ukubwa wa eneo ni kilometa mraba 53.2.

Makao makuu yako Marigot.

Idadi ya wakazi ni 35,107 (mnamo Januari 2014).

Kabla ya mwaka 2007 ilikuwa chini ya Guadeloupe.

Mkataba wa Lisbon unaweka wazi kuwa Saint-Martin ni sehemu ya Umoja wa Ulaya.

Wakazi wanaongea hasa Kiingereza na Krioli yake, mbali ya Kifaransa ambacho ndicho lugha rasmi.

Tanbihi

Viungo vya nje

Saint Martin 
WikiMedia Commons
Saint Martin  Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Saint Martin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

18°4′31″N 63°3′36″W / 18.07528°N 63.06000°W / 18.07528; -63.06000

Tags:

Jina rasmiKaskaziniKifaransaKisiwaKisiwa cha Saint MartinKusiniThuluthiUfalme wa Nchi za ChiniUfaransa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuTundaShirikisho la Afrika MasharikiKiunguliaMkoa wa KataviJumaLilithVidonda vya tumboMweziOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaUkoloniDr. Ellie V.DOrodha ya nchi kufuatana na wakaziWanyakyusaKairoRamaniTesistosteroniChuraKiboko (mnyama)JuxDamuAfrikaKifua kikuuReal BetisMahakama ya TanzaniaUnyanyasaji wa kijinsiaMafarisayoIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)MjasiriamaliShetaniVivumishi vya kumilikiRose MhandoMawasilianoHedhiNgome ya YesuDar es SalaamPijini na krioliKuhani mkuuMkungaFasihiDini nchini TanzaniaKemikaliKiungo (michezo)JinsiaNembo ya TanzaniaAbrahamuAzimio la kaziAli KibaNguruweMethaliMaudhuiLil WayneKitenziMwenge wa UhuruAthari za muda mrefu za pombeUnju bin UnuqHistoria ya Kanisa KatolikiVieleziSentensiOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaKipaimaraBungeUtamaduni wa KitanzaniaMkoa wa SingidaKitunguuMkoa wa RukwaBendera ya KenyaSakramentiFonolojiaManchester CityAbedi Amani Karume🡆 More