Albamu Queen: Albamu ya bendi Queen

Queen ni albamu ya kwanza ya bendi Queen, ambayo ilitolewa mnamo mwezi wa Julai katika mwaka wa 1973.

Ilirekordiwa Trident Studios na De Lane Lea Music Centre huko London. Watayarishaji walikuwa John Anthony, Roy Thomas Baker na Queen.

Queen
Studio album ya Queen
Imetolewa 13 Julai 1973
Aina Rock
Urefu 38:36
Lebo EMI (Ulaya)
Parlophone (Ulaya)
Elektra Records (Marekani)
Hollywood Records (Marekani)
Mtayarishaji John Anthony, Roy Thomas Baker, Queen
Wendo wa albamu za Queen
Queen
(1991)
Queen II
(1974)
Single za kutoka katika albamu ya Queen
  1. "Keep Yourself Alive"
    Imetolewa: 6 Julai 1973
  2. "Liar"
    Imetolewa: 14 Februari 1974

Nyimbo tano ziliandikwa na Freddie Mercury, nyimbo nne ziliandikwa na Brian Mei, na wimbo mmoja uliandikwa na Roger Taylor. Wimbo "Doing All Right" uliandikwa na Brian Mei na Tim Staffel, memba wa bendi Smile.

Orodha ya nyimbo

  1. "Keep Yourself Alive" (Mei) – 3:48
  2. "Doing All Right" (Mei/Staffell) – 4:09
  3. "Great King Rat" (Mercury) – 5:41
  4. "My Fairy King" (Mercury) – 4:08
  5. "Liar" (Mercury) – 6:26
  6. "The Night Comes Down (Mei) – 4:23
  7. "Modern Times Rock 'n' Roll" (Taylor) – 1:48
  8. "Son and Daughter" (Mei) – 3:21
  9. "Jesus" (Mercury) – 3:44
  10. "Seven Seas of Rhye..." (Mercury) – 1:15
Albamu Queen: Albamu ya bendi Queen  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Queen (albamu) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

LondonQueen

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

FananiVielezi vya mahalivvjndNomino za kawaidaKhadija KopaWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiShairiMtakatifu PauloKalenda ya KiislamuFonolojiaFalsafaMfumo wa Msimbo wa Posta TanzaniaMofimuBendera ya TanzaniaRayvannyMimba kuharibikaMkwawaSiasaInshaAlama ya uakifishajiWakingaUtumwaPasifikiAgostino wa HippoOrodha ya nchi kufuatana na wakaziInstagramAmri KumiMbogaWajitaTamathali za semiJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMeliKisukuruVitenzi vishirikishi vikamilifuUnyenyekevuUbongoWapareBikira MariaMapinduzi ya ZanzibarDaktari25 ApriliKishazi huruMbagalaMwanza (mji)UchaguziHistoria ya uandishi wa QuraniLugha ya taifaHistoria ya WapareImaniUkatiliRiwayaOrodha ya wanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoKiazi cha kizunguGeorDavieWanyakyusaMkoa wa MorogoroTanganyika (maana)Tupac ShakurMmeaPijini na krioliKataMohamed HusseinAfrika ya MasharikiVivumishi vya -a unganifuUkoloniMwakaMbezi (Ubungo)Mkoa wa RukwaKonsonantiJakaya Kikwete🡆 More