Spishi 2:
Pongo | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Dume la pongo kusi (kulungu) (Tragelaphus s. sylvaticus) | ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
| ||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||
| ||||||||||||||||
Msambao wa pongo |
Pongo, kulungu au mbawala (Kiing. bushbuck) ni wanyama wa Afrika wa jenasi Tragelaphus katika familia Bovidae ambao wanafanana na Tandala.
Zamani nususpishi 40 zilitofautishwa, lakini utafiti wa ADN wa sampuli nyingi umeonyesha kwamba kuna vikundi 19. Vikundi hivyo viliungana katika nususpishi mbili. Siku hizi zinachukuliwa kama spishi tofauti. Wanasayansi wengine wanatambua spishi nane tofauti, lakini hii bado inabishaniwa.
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pongo kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wiki: WikiProject Mammals/Article templates/doc.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Pongo, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.