Papa Innocent X (6 Mei 1574 – 7 Januari 1655) alikuwa Papa kuanzia tarehe 15 Septemba/4 Oktoba 1644 hadi kifo chake.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Battista Pamphilj.
Alimfuata Papa Urbano VIII akafuatwa na Papa Aleksanda VII.
Papa Innocent X katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent X kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Papa Innocent X, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.