Paladi wa Uskoti (kwa Kilatini: Palladius; Gallia, 408 - 457 hivi) alikuwa askofu wa kwanza wa kisiwa cha Ireland lakini baada ya kukataliwa huko alihamia Uskoti hadi kifo chake .
Alipokuwa shemasi, ndipo Papa Selestini I alipompatia uaskofu na kumtuma katika Funguvisiwa la Britania kupinga Upelaji.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Paladi wa Uskoti, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.