Ojos del Salado ni mlima wa Andes katika nchi ya Chile (Amerika Kusini).
Urefu wake ni mita 6,891 juu ya usawa wa bahari, hivyo ni wa kwanza katika nchi hiyo na wa pili katika safu nzima ya Andes.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Ojos del Salado, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.