Nargis

Nargis Dutt (jina la kuzaliwa: Fatima Rashid lakini alifahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Nargis; kwa Kihindi: नर्गिस, kwa Kiurdu: |نرگس J: 1 Juni 1929 – 3 Mei 1981) alikuwa mwigizaji wa filamu kutoka India.

Huhesabiwa kama mmoja kati ya waigizaji filamu bora katika historia ya sinema za Kihindi.

Nargis
Nargis
Amezaliwa Fatima Rashid
1 Juni 1929
Calcutta, West Bengal, Uhindi ya Kiingereza
Amekufa 3 Mei 1981 (umri 51)
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1935, 1942 – 1967
Ndoa Sunil Dutt (1958 – 1981) (mpaka kifo chake)
Watoto Sanjay Dutt
Anju
Priya Dutt
Nargis

Alipata kuonekana kwa mara ya kwanza akiwa kama mtoto kwenye seti ya Talash-E-Haq mnamo 1935, lakini kazi yake ya uigizaji ilianza rasmi 1942 na Tamanna. Wakati wa kazi zake ambazo zilitamba sana kunako miaka ya 1940 na 60, Nargis amepata kuonekana katika kazi kadhaa zenye-mafanikio, vilevile kwenye kazi ambazo ziliheshimika vibaya mno, nyingi katika hizo humshirikisha mwigizaji mwenzi na mtengenzaji wa filamu Raj Kapoor. Moja kati ya nyusika maarufu alizocheza ni pamoja na Radha (-liopa kushindanishwa kwenye Academy Award)- Mother India (1957), kazi ambayo alijipatia tuzo ya kama mwigizaji bora na Filmfare Awards na Karlovy Vary International Film Festival. Mnamo 1958, Nargis ameolewa na mshiriki mwenzake wa katika filamu ya Mother India, mwigizaji Sunil Dutt, na akaachana na masuala ya soko la filamu. Alionekana mara kadhaa tu kwenye filamu za miaka ya 60.

Filmografia

  • Talashe Haq (1935)
  • Tamanna (1942)
  • Taqdeer (1943)
  • Humayun (1945)
  • Bisvi Sadi (1945)
  • Nargis (1946)
  • Mehandi (1947)
  • Mela (1948)
  • Anokha Pyar (1948)
  • Anjuman (1948)
  • Aag (1948)
  • Roomal (1949)
  • Lahore (1949)
  • Darogaji (1949)
  • Barsaat (1949)
  • Andaz (1949)
  • Pyaar (1950)
  • Meena Bazaar (1950)
  • Khel (1950)
  • Jogan (1950 film)|Jogan (1950)
  • Jan Pahchan (1950)
  • Chhoti Bhabbi (1950)
  • Babul (1950)
  • Aadhi Raat (1950)
  • Saagar (1951)
  • Pyar Ki Baaten (1951)
  • Hulchul (1951)
  • Deedar (1951)
  • Awaara (1951)
  • Sheesha (1952)
  • Bewafaa (1952)
  • Ashiana (1952)
  • Anhonee (1952)
  • Amber (1952)
  • Shikast (1953)
  • Paapi (1953)
  • Dhoon (1953)
  • Aah (1953)
  • Angarey (1954)
  • Shree 420 (1955)
  • Jagte Raho (1956)
  • Chori Chori (1956)
  • Pardesi (1957)
  • Mother India (1957)
  • Lajwanti (1958)
  • Ghar Sansar (1958)
  • Adalat (1958)
  • Yaadein (1964)
  • Raat Aur Din (1967)
  • Tosa oneira stous dromous (1968)

Soma zaidi

  • Mr. and Mrs. Dutt: Memories of our Parents, Namrata Dutt Kumar and Priya Dutt, 2007, Roli Books. ISBN 9788174364555.
  • Darlingji: The True Love Story of Nargis and Sunil Dutt, Kishwar Desai. 2007, Harper Collins. ISBN 9788172236977.
  • The Life and Times of Nargis, T. J. S. George. 1994, Harper Collins. ISBN 9788172231491.

Marejeo

Viungo vya Nje

Tags:

Nargis FilmografiaNargis Soma zaidiNargis MarejeoNargis Viungo vya NjeNargis19291981BollywoodFilamuIndiaKihindiKiurduMwigizaji

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

FananiMahindiAfrika ya Mashariki ya KijerumaniUkoloniVipaji vya Roho MtakatifuUzazi wa mpango kwa njia asiliaNamba za simu TanzaniaUandishiKamusi ya Kiswahili - KiingerezaJumuiya ya Afrika MasharikiNguvuMofolojiaUtumbo mpanaMbuga za Taifa la TanzaniaIsimuMagonjwa ya kukuMuziki wa dansi wa kielektronikiFani (fasihi)DUsanisinuruAlfabetiGUtapiamloMahariDaniel Arap MoiMenoTaswira katika fasihiAla ya muzikiDamuMkoa wa ManyaraFIFAUundaji wa manenoShambaNgoziMaisha ya Weusi ni muhimuWaheheVidonda vya tumboMpwaNahauEswatiniNambaJumapili ya matawiKina (fasihi)Kito (madini)LafudhiMkoa wa SingidaSayansiShetaniBungeEthiopiaSomo la UchumiParisMzabibuUbunifuMagavanaZuchuMohamed HusseinMungu ibariki AfrikaMbonoJohn Raphael BoccoMkoa wa GeitaLigi ya Mabingwa AfrikaKombe la Dunia la FIFAKaswendeUkwapi na utaoHistoria ya WapareRayvannyLisheOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaKatekisimu ya Kanisa KatolikiMusuliOsama bin LadenKishazi tegemeziNguruweUgonjwa wa uti wa mgongoKichochoMishipa ya damu🡆 More