Nagasaki

Nagasaki ni mji wa Japani kwenye kisiwa cha Kyushu mwenye wakazi 450,000.

Nagasaki
Nagasaki mwaka 2004.
Nagasaki
Mahali pa Nagasaki.

Umejulikana kimataifa kwa sababu uliharibiwa tarehe 9 Agosti 1945 na bomu la nyuklia la Kimarekani kama mji wa pili katika historia baada ya Hiroshima. Bomu hilo liliua watu 36,000 mara moja na wengine waliokadiriwa kuwa kati ya 70,000 na 100,000 walikufa baadaye kufuatana athari ya mnururisho wa kinyuklia.

Kihistoria Nagasaki ilikuwa kitovu cha Ukristo katika Japani mnamo mwaka 1600. Imani hiyo ilipigwa marufuku na serikali, hivyo Wakristo wengi waliuawa katika miaka iliyofuata. Wachache walitunza imani kwa siri hadi kurudishwa kwa uhuru wa dini katika karne ya 19.

Viungo vya Nje

Nagasaki 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
Nagasaki  Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nagasaki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

JapaniKisiwaKyushuMji

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kifua kikuuMajiUundaji wa manenoItifakiUmaskiniKarne ya 18UkimwiNyegereSarufiDhamiriMkoa wa RukwaVidonda vya tumboPandaMwaka wa KanisaSumakuOrodha ya makabila ya TanzaniaFisiMuhammadMafuta ya wakatekumeniRihannaLigi Kuu Tanzania BaraUnyanyasaji wa kijinsiaWaanglikanaAMawasilianoRitifaaSemiLilithSaida KaroliUgonjwa wa uti wa mgongoOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaAlfabetiMahakamaUislamuMbeguVielezi vya namnaOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaPijini na krioliRisalaSoko la watumwaKenyaNyaniMbooUaJokate MwegeloHoma ya dengiAina za manenoHifadhi ya mazingiraLugha ya programuMishipa ya damuVichekeshoAgano la KaleUoto wa Asili (Tanzania)WikimaniaKairoUingerezaKamusi elezoKiarabuMaradhi ya zinaaNdovuFigoWiktionaryKondomu ya kikeNabii IsayaKishazi tegemeziMkoa wa MaraKaabaMachweoNambaMtandao wa kompyutaLughaSaddam HusseinJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaCAF🡆 More