Musa Wa Roma

Musa wa Roma (alifariki Roma, Italia, 251) alikuwa padri wa Roma ya Kale aliyeongoza jimbo baada ya kifodini cha Papa Fabiani.

Alifungwa muda mrefu kwa ajili ya imani yake hadi akafa gerezani .

Tangu kale anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Novemba.

Tazama pia

Tanbihi

Musa Wa Roma  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

251DayosisiItaliaMfiadiniPadriPapa FabianRomaRoma ya Kale

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Vita Kuu ya Pili ya DuniaOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaWilaya ya NyamaganaHistoria ya Kanisa KatolikiSwalaIsimuHistoria ya ZanzibarUgandaKiambishiMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaTreniKaswendeAsidiLuhaga Joelson MpinaUtumwaBibliaTambikoMapenzi ya jinsia mojaNathariMichael JacksonViwakilishi vya kumilikiKitenzi kikuu kisaidiziMwanzo (Biblia)AlfabetiDamuSabatoAlomofuOrodha ya nchi za AfrikaMshororoHistoria ya KanisaWayahudiHistoria ya WasanguBenderaOrodha ya Magavana wa TanganyikaIsimujamiiBahashaDawatiVivumishi vya idadiUbongoTovutiMwakaUfugaji wa kukuTanganyika (ziwa)Kutoka (Biblia)Maana ya maishaUjerumanivvjndGoba (Ubungo)MziziMaajabu ya duniaAmina ChifupaTenzi tatu za kaleWachaggaEthiopiaMoses KulolaOrodha ya milima mirefu dunianiMkoa wa NjombeMkunduUlimwenguKiambishi tamatiUnyenyekevuBiasharaMsokoto wa watoto wachangaHadithiKiingereza🡆 More