Mtapo

Mtapo (wakati mwingine pia mbale; kwa Kiingereza: ore) ni mwamba asilia au mashapo yenye madini ya thamani ndani yake, hasa yenye metali ndani yake.

Mtapo
Mtapo wa chuma
Mtapo
Madini ya magnetiti (oksidi ya chuma) katika mtapo

Mtapo hupatikana katika ardhi au chini ya ardhi au ndani ya mlima ukitolewa kwa kuuchimba, mara nyingi katika migodi. Hapo mtapo unapondwa na sehemu kubwa ya ardhi au miamba isiyo na tija hupunguzwa kwa mbinu mbalimbali.Tokeo lake ni makanikia (ore conventrate) yenye kiwango kikubwa cha madini yanayotafutwa. Yanatolewa katika makanikiakwa njia mbalimbali za kuusafisha, kwa mfano kwa kuupasha moto hadi metali ndani yake inayeyuka, au kwa njia za kemikali zinazounda kampaundi na madini inayotafutwa; kampaundi hiyo inasafishwa baadaye tena.

Thamani ya mtapo hutegemea kiwango cha madini yanayotafutwa ndani wake. Hii inategemea na maendeleo ya tekinolojia na bei ya madini yenyewe kwa upande mmoja na gharama za kutoa mtapo ardhini na kuusafisha kwa upande mwingine.

Madini ambayo mitapo yake hupatikana kwa umbo la oksidi, sulfidi na silikati au tayari kama metali kama vile shaba na dhahabu. Kwa mfano chuma hupatikana kiasili zaidi kama oksidi za Fe3O4 (magnetiti) na Fe2O3 (hematiti).

Marejeo

Mtapo  Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtapo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

MadiniMashapoMetaliMwamba (jiolojia)Thamani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

DiglosiaSabatoBibliaTendo la ndoaKhalifaTungo sentensiMkoa wa Unguja Mjini MagharibiKishazi huruBenderaAgano la KaleJichoBikiraNg'ombe (kundinyota)Nomino za dhahaniaVielezi vya mahaliJinsiaMkoa wa MaraNafsiUsanifu wa ndaniAustraliaOrodha ya Marais wa ZanzibarVita ya Maji MajiUharibifu wa mazingiraMpira wa mkonoInstagramNgiriTenzi tatu za kaleP. FunkUongoziLugha za KibantuCristiano RonaldoSodomaVitenzi vishiriki vipungufuKisaweJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaSensaMaudhui katika kazi ya kifasihiMillard AyoUzazi wa mpango kwa njia asiliaMnyoo-matumbo MkubwaLakabuNdoa katika UislamuVitendawiliWakingaDhamiraMatiniTulia AcksonMbuga za Taifa la TanzaniaKisimaMajiAla ya muzikiNgw'anamalundiShetaniMoses KulolaHadhiraRitifaaSerikaliFalsafaKanda Bongo ManOrodha ya nchi za AfrikaOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaAntibiotikiLady Jay DeeBawasiriMkopo (fedha)KiimboUbadilishaji msimboMapambano kati ya Israeli na PalestinaOrodha ya vitabu vya BibliaOrodha ya mito nchini TanzaniaMwanzo🡆 More