Misafsafi (kutoka Kiarabu: صفصاف; Kilatini: Salix) ni familia ya miti fulani imeayo kando ya maji mengi katika Nusudunia ya Kaskazini.
Msafsafi (Salix spp.) | ||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Picha ya Msafsafi mweupe | ||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||
|
Misafsafi inayojulikana sana ni Msafsafi wa Babeli (Salix babylonica) kutoka Uchina na Msafsafi Mweupe (Salix alba) kutoka Ulaya.
Salix, Msafsafi (Willow)
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Msafsafi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Msafsafi, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.