Mary Chapin Carpenter (alizaliwa 21 Februari 1958) ni mwanamuziki wa Marekani.
Carpenter alitumia miaka kadhaa kuimba katika vilabu vya Washington, D.C., kabla ya kusaini mwishoni mwa miaka ya 1980 na Columbia Records. Albamu ya kwanza ya Carpenter, 1987 Hometown Girl, haikutoa nyimbo zozote za maigizo.
Alifanikiwa kutoa nyimbo miaka ya 1989 kupitia State of the Heart na Shooting Straight in the Dark miaka ya 1990. Alifanikiwa kushinda tuzo tano za Grammy Awards kati ya kumi na nane alizochaguliwa kushiriki.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mary Chapin Carpenter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Mary Chapin Carpenter, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.