Marijampolė (kati ya miaka 1955 na 1989: Kapsukas) ni mji nchini Lituanya.
Ni mji mkubwa wa saba katika nchi ya Lituanya. Kuna wakazi 47,244 (mwaka 2007).
Eneo lake ni km² 205.07. Mji uko pande zote mbili za Mto Šešupė.
Mji ulianzishwa 1792.
Marijampolė (kati ya miaka 1955 na 1989: Kapsukas) ni mji nchini Lituanya.
Makala hii kuhusu maeneo ya Lituanya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Marijampolė kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Marijampolė, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.